Job Vacancies At Kibaha District Council June 2024

Nafasi za kazi Watendaji vijiji Halmashauri ya wilaya ya Kibaha June 2024

 JIUNGE NASI WHATSAPP TU FOLLOW. BONYEZA HAPA

Job Vacancies At Kibaha District Council June 2024 Kibaha District Council Announced Nafasi za kazi za Watendaji Vijiji On this June 2024 .Kibaha District Council through an alternative employment permit with Ref.No.FA.228/613/01/C/043 dated May 21, 2024 from the Secretary GeneralOffice of the President – Public Service Management and Good Governance regarding employment new.

Job Vacancies At Kibaha District Council

The Executive Director of Kibaha District Council is announcing a vacancy
of work and invites applications from qualified Tanzanians to fill the position
listed in this advertisement:-

POSTMTENDAJI WA KIJIJI III – 1 POST
EMPLOYERHalmashauri ya Wilaya ya Kibaha
APPLICATION TIMELINE:2024-06-06 2024-06-19
JOB SUMMARYNIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
 1. Afisa Masuuli na mtendaji mkuu wa serikali ya kijiji;
 2. Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao, kuwa mlinzi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika kijiji;
 3. Kuratibu na kusimamia upangaji wa mipango ya maendeleo ya kijiji;
 4. Katibu wa mikutano na kamati zote za Halmashauri ya kijiji;
 5. Kutafsiri na Kusimamia Sera, Sheria na Taratibu;
 6. Kuandaa taarifa ya utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali;
 7. Kiongozi wa wakuu wa vitengo vya klitaalam katika kijiji;
 8. Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za kijiji;
 9. Mwenyekiti wa kikao cha wataalam waliopo katika kijiji;
 10. Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi;
 11. Kusimamia utungaji wa Sheria Ndogo za kijiji; na
 12. Atawajibika kwa Mtendaji Mkuu wa Kata.
QUALIFICATION AND EXPERIENCEKuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATIONTGS B

CLICK HERE TO APPLY

 JIUNGE GROUP LETU LA TELEGRAM. BONYEZA HAPA