Ajira Forum
Thursday, February 2, 2023
  • Login
  • Home
  • Sports
  • Finance
  • Insurance
  • Travel Tips
  • Ajira Mpya
  • Contact us
No Result
View All Result
  • Home
  • Sports
  • Finance
  • Insurance
  • Travel Tips
  • Ajira Mpya
  • Contact us
No Result
View All Result
Ajira Forum
No Result
View All Result

HESLB Loan Allocation 2022/2023| HESLB  Majina ya Wanafunzi Waliopata mkopo 2022/2023

HESLB Loan Beneficiaries 2022/2023 |Wanafunzi Waliopata Mkopo 2022/2023

by ajiraforum
52
Share on FacebookShare on Twitter

 JIUNGE MAGROUP YETU YA WHATSAPP. BONYEZA HAPA

HESLB Loan Beneficiaries 2022/2023 |Wanafunzi Waliopata Mkopo 2022/2023

HESLB Loan Beneficiaries 2022/2023 |Wanafunzi Waliopata Mkopo 2022/2023 Heslb loan Allocation 2021/2022 pdf The Announcement of students Loan Allocation is On hand of Higher Education Student Loan Board (HESLB) Only one month After closing window of Applications

HESLB Loan Beneficiaries 2022/2023 |Wanafunzi Waliopata Mkopo 2022/2023

RELATED POSTS

Application letter for job | How to Write a Job Application Letter

NECTA : New Approved Exams Formats for All Level

All students or parent they are supposed to visit Official website of Higher Education Students Loan Board www.heslb.go.tz or to login their Application Account to check for their Loan status

 

Which Qualifications Used by Heslb to Allocate Loans?|Loan Eligibility

  • Must be Tanzanian (either from mainland or island)
  • Wish to Join Public or private University in Tanzania
  • Either full Orphan(Lost both parents) or partial orphan and Must Approved by RITA
  • Disabled and must possess Certification from Certified Medical officer
  • Disabled parents and also Need certification Approval
  • Coming from Low income Family

 

How To Check Loan Allocations Status of Academi year 2022/2023

All students selected to join Different Universities in Tanzania and who Applied for Loan to sponsor their Higher Learning Education Advised to use Official website of Higher Education Students Loan (HESLB) www.heslb.go.tz or to use their OLAS Account to log in to check their Allocation status

HESLB How to check Loan ststus –Student’s Individual Permanent Account (SIPA)

  1. Log in to HESLB with your Form Four Index Number and password.
  2. Navigate to the Student Information System.
  3. Navigate to the Student tab.
  4. Select application status.
  5. Check application status.

CLCK HERE Applicant’s Loan Status 

VIDEO: How to check Heslb Loan Allocation

JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM KWA TAARIFA ZAIDI << BONYEZA HAPA>>

What to Do if your not Allocated in Current Batch?

If you don’t find your name in list of Allocated students  Don’t worry Higher Education Students Loan (HESLB) they have Tendency to Release Names in series of Batches there Batch one up to Batch four and if in All number of Batches still your not Allocated the Last option is to Wait for Appeal window in order to Re Apply Never Give up in Trying your Luck

 

 NECTA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022/2023. BONYEZA HAPA KUTAZAMA

Continue Reading
Tags: HESLBLOAN ALLOCATIONS
ShareTweetPin
ajiraforum

ajiraforum

Related Posts

Application letter for job | How to Write a Job Application Letter

Application letter for job | How to Write a Job Application Letter

NECTA : New Approved Exams Formats for All Level

NECTA : New Approved Exams Formats for All Level

BMZ STANDARD SIX PAST PAPERS Zanzibar

NZQA login | www.login.nzqa.govt.nz

How to check Form four Results CSEE 2022 | Matokeo ya kidato cha nne 2022

Next Post
Job Vacancies at Geita Gold Mining Ltd October 2022

Job Vacancies at Geita Gold Mining Ltd October 2022

Heslb How to check Loan Allocation Status 2022/2023 – Student’s Individual Permanent Account (SIPA)

Heslb Loan Allocation Status 2022/2023-Olams heslb 2022/2023 – Student’s Individual Permanent Account (SIPA HESLB)

Comments 52

  1. S1045/0009 says:
    2 years ago

    Naomba kuona majina

  2. Diana nzasule says:
    2 years ago

    Tunaomba mturahisishie namna ya kuyapata majina hayo ya wanafunzi waliopata mkopo kwa ajiri ya masomo yao ya elimj ya juu

    • Kulwa Samuel issack says:
      2 years ago

      Kweli dada

  3. Daniel s kulwa says:
    2 years ago

    Majina yatolewe mapema

  4. MDEE says:
    2 years ago

    MAJINA BADO AU MBONA HAYAONEKANI

    • Afra zilimu says:
      2 years ago

      Naomba kuona majina ya waliopata mkopo

  5. OMAR BAKAR says:
    2 years ago

    KWELI HAYO MAJINA YAONEKANA ILI MTU AJUE MAPEMA, KAMA KAKOSA ATAFUTE ANOTHER ALTERNATIVE

    • Scholastica Yaya says:
      1 year ago

      Samahani ndugu,sijachagulowa chuo chochote round ya kwanza. Nifanyeje?

  6. imani sauti says:
    2 years ago

    Mlaisishe mfumo wenu kwani mnatuwia vigumu kuona mapema

  7. Theresia Oscar Msangawale says:
    2 years ago

    naomba msaada wa kuona majina kwa urahisi zaidi

    • Baraka says:
      2 years ago

      Mbona majina siyaoni ya waliopata mkopo?

  8. Martinalbart says:
    2 years ago

    albartgeorge716@gmail.com

  9. Humphrey kifwe says:
    2 years ago

    Mbona hayo majina siya oni nitumie mfumo gani ili niweze kuyaona kwa uharaka zaidi?

  10. Damas Damas Daniel says:
    2 years ago

    Ni vyema kama kungekuw na notification kwa kila taarfa mpya mnayoitoa ili tuwe tunajua mapema zaid kile kinachoendelea, na tuelekezane njia nyepes ya kuweza kuyapata hayo majna

  11. Emmanuel Msangira says:
    2 years ago

    Nice

  12. Kikiwa first says:
    2 years ago

    Ushaur,naomba kupata orodha ya wanufaika na mkopo ili kujua kama nipo au sipo, maana lazma nifanye maandaliz

  13. stephano titus says:
    2 years ago

    umeyaona

  14. stephano titus says:
    2 years ago

    umeyaona tayari
    hayo majina ya watu waliopata mkopo

  15. Yeniel Fiberty says:
    2 years ago

    samahan ila naomba tupewe taarifa mapema za mikopo maana siku zinaisha na natakiwa kufanya maandalizi……. pya naomba mtupe taarifa hizo kupitiya account zetu tulizo ombea mkopo.Pale round ya kwanza inapo toka na znapo endelea na mpaka mwisho ili mtu uweze kufahamu umepata au umekosa……..ASANTE

  16. Yeniel Fiberty says:
    2 years ago

    naomba kujua je majina ya waliyo pata mkopo yametoka?

  17. kombo says:
    2 years ago

    Mbona hyo majina hayaonekani

  18. Yunus ngwale says:
    2 years ago

    Majina ya mikopo yameshatoka au maana time inaenda 2

  19. Kureshi says:
    2 years ago

    Naona hayafunguki

  20. Peter kanoni says:
    2 years ago

    Hayo majina tutasubiri hadii lini

  21. Jastini says:
    2 years ago

    Majina hatuyaoni tusaidien jaman

  22. Pius says:
    2 years ago

    Jamn me cyaoni majia au kuna njia tofauti?

  23. Mariam Ally Digega says:
    2 years ago

    Namba mtume majina maan tunapat shida kuyatafuta mpk tunabak na waswas mda wte so plz tusaidien kwa harak bila kujal chchte

  24. Seth japheth says:
    2 years ago

    Mbna hatuyaon sasa

  25. Baraka says:
    2 years ago

    Mbona majina siyaoni ya waliopata mkopo?

  26. Radslaus says:
    2 years ago

    Naomba kupata list ya majina mbona hatuioni

    • Tamari says:
      2 years ago

      Naomba kupata list ya watu walio pata mkopo maana siyaon

    • Suzy says:
      2 years ago

      Kwakweli tunaomba mtuxaidie kwa hili majina hua tunapata shida kupata

  27. Joyce Kulinda says:
    2 years ago

    Jaman ni kwel mbona hatuyaon au kuna njia tofaut ya kuangalia hayo majna naomben mnijuze na mm

  28. Eunice Ogaga says:
    2 years ago

    ni jinsi gani ya kupata hayo majina

  29. Michael petre says:
    2 years ago

    Ni kweli hatuyaoni au kunanjia nyengine ya kuyapata

  30. pascal j tweve says:
    2 years ago

    mbna majina hayaonekani tumaamgaliaj

  31. Zainabu Aweso Momba says:
    2 years ago

    Kwa kweli bodi ya mikopo mnatutesa hayo majina hayaonekani shida tupu

    • Burhan Aweso Tuwa says:
      2 years ago

      Me nahic njia rahic nikuingia kwenye akaunt binafs ya mwanfunz uliyojiunga wakt unaomb mkopo maaruf kama SIPA

  32. Masanyiwa chasama says:
    2 years ago

    Naomba kuona majina ya mkopo awamu ya pili Kwan siku zmeishana tunatakiwakufanya maandalizi

  33. EMMANUEL KACHEMBEHO SHILAGI SHILAGI says:
    2 years ago

    Naomba kuona majina yangu mkopo

    • Elias charles says:
      2 years ago

      Ndugu yangu yani mifumo yao inasumbua sana

  34. Elias charles says:
    2 years ago

    Yani hadi inakera jmn mbona kila nikitaka kuingia kwenye account yangu ya HESLB Olas inakataa????? kuna haja ya kubadili mifumo yenu inasumbua sana…Mwenye majina ya allocation ya mkopo batch ya tatu pls anitumie kwenye email yangu eliyamugini11@gmail.com

  35. Maua rligoneko says:
    2 years ago

    Je inawezekana ukakata rufaa lakin usione majib kwenye account

    • ajiraforum says:
      2 years ago

      Hello For Our Experience Appeal Results are not showing on Account will be pinned on Respective University Notice board

  36. MAPIPA LEONARD says:
    2 years ago

    What caused me not to get loan?

  37. Khatibu shaibu mapunda says:
    2 years ago

    Majania na shule tulo chaguliwa

  38. Khatibu shaibu mapunda says:
    2 years ago

    Selection

    • Khatibu shaibu mapunda says:
      2 years ago

      Tunaomba majina haho yatolewe mapema mbon siyaoni

  39. limy kayandalila says:
    2 years ago

    boresheni mf

  40. Fatuma khalfan says:
    1 year ago

    Jamani tunaomba mtuongezee mda kwa xix tulio depo plzzzzz🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  41. William says:
    1 year ago

    Nafikiri bado hebu tusubiri tuone ndani ya wiki inayoanza hapo cause mda mwingi nimekuw online kucheck but am suffering for nothing brothers.

  42. Aines deus Christian says:
    1 year ago

    pauloaganyira@gmail.com

Jiunge nasi Telegram

Darasa La Cake by Nory_cakes

Darasa la Cake By Nory Cakes

Recent Comments

  • MAGDALENA RAPHAEL LUGONGOQ on PDF Files | MZUMBE Selected Applicants 2022/2023 Bachelor, Diploma And Certificate | Mzumbe University Selection
  • Laurent nicolaus laurent on University Selections 2022/2023 |Selected students to join Universities in Tanzania 2022/2023
  • Alazan Erasto on Job Opportunity at DHL (Tanzania) Limited – Billing Coordinator
  • Subira Enoss on List of Courses Offered Dar es Salaam Maritime Institute (DMI) -Kozi zinazotolewa Chuo kikuu Cha Cha Bandari (DMI)
  • David ndiema on RVTTI Student Portal | rvti.ac.ke Student Portal Login

Promoted content

Recent Posts

  • Matokeo ya Kidato cha nne Tanzania Kimikoa 2022/2023 | Form Four CSEE Results necta.go.tz
  • 320 Job Vacancies TAKUKURU /PCCB January 2023
  • Majina ya walioitwa kwenye Usaili Uhamiaji January 2023 PDF | Call For Interview at UHAMIAJI
  • Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Polisi Tanzania January 2023 | Called for interview Tanzania police force
  • Job Vacancies at African Union Jobs at African Union January 2023
  • Home
  • Sports
  • Finance
  • Insurance
  • Travel Tips
  • Ajira Mpya
  • Contact us

© 2020 Ajiraforum - Ajiraforum.com.

No Result
View All Result
  • Home
  • Sports
  • Finance
  • Insurance
  • Travel Tips
  • Ajira Mpya
  • Contact us

© 2020 Ajiraforum - Ajiraforum.com.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In
'} });