15 Drivers Job At MSD|Ajira za Udereva serikalini MSD

Nafasi 15 za Udereva serikalini -Medical Stores Department

 JIUNGE NASI WHATSAPP TU FOLLOW. BONYEZA HAPA

Nafasi 15 za Udereva serikalini -Medical Stores Department

DRIVERS – 15 POST

POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION

EMPLOYER MEDICAL STORES DEPARTMENT (MSD)

APPLICATION TIMELINE: 2020-10-02 2020-10-15

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. To make pre–vehicle inspection to the assigned vehicle prior to travelling;

ii. To drive Department’s vehicles;

iii. To report vehicle mechanical defects discovered to the officer responsible for transport;

iv. To record vehicle movement and distance covered within its logbook;

v. To perform routine service to the vehicle under his control;

vi. To service the vehicle assigned to him/her regularly and keeps it clean;

vii. To check to ensures that the vehicle has a valid insurance cover; and

xviii. To perform any other related duties as may be assigned by Supervisors.

RECOMMENDED

READ >>Nafasi za 13 kazi Medical Department Store- Warehouse Assistants

READ>>Ajira 60 za form four na kuendelea Kairuki Pharmaceuticals Industry Ltd

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Holders of Secondary School Certificate, with a Class ‘C’ or ‘E’ driving license and experience of at least three (3) years. The candidate must also have undergone training and attained ‘Trade Test’ Grade II from a recognized Institute. Basic security skills will be an added advantage

REMUNERATION Institute’s salary scale MSDS 269

The deadline for submitting the application is October 15, 2020

NAFASI NYINGINE ZA KAZI ZA UDEREVA BONYEZA HAPA KUPAKUA APP YETU

CLICK HERE TO APPLY

 JIUNGE GROUP LETU LA TELEGRAM. BONYEZA HAPA

17 Comments

 1. Natafuta nafasi ya kazi ya udereva

 2. Natafuta kazi ya udereva

 3. Naitwa. george Zabron Ally. ni dereva na ni mzoefu namiaka 27 ni mkazi wa morogoro nauzoefu wa kutosha naendesha gali aina yoyote nafanya kazi mazingira yoyote nitayo pangiwa na ninauzoefu wa miaka 7 Sasa

 4. Nashida na kazi ya udreva ni mkazi wa kigoma vijijin. Nitapenda sana endapo nitapata kazi toka kwenu
  Nb. Kwa ujumla napenda kazi ya udreva sana na nikipaji nilichonacho toka kwa mungu

 5. Naitwa mtenje mohamedy naishi kahama, natafuta kazi ya udreva nina uzoefu wa kuendesha kila aina ya magari, natumaini nitashilikiana na nyie pasipo Kua na shida yeyote na nahaidi kufanya uaminifu wa kazi na Kua makini kwa kila jambo nakutakieni Siku njema na kazi njema pia. Namba yangu ya simu 0626979580

 6. Naitwa stephano motto natafuta kazi ya udereva wa magari

 7. Naitwa stephano motto natafuta kazi ya udereva wa magari napatikana makao makuu ya nchi Dodoma ninauzoefu wa kuendesha magari ya office na kwenye makampuni

 8. Kwa majina naitwa Christopher Malundo napatikana Mkoa wa Dodoma naomba nafasi Ya Kazi ya udereva Niko na uzoefu na hii kazi leseni yangu Ni class D natumaini ombi Langu litafanyiwa kazi.
  0686671800

 9. Kwa majina naitwa jastinxsadick63@gmail.com napakana mkoa wa kigoma wilaya ya kasulu mjin naomba nafas ya kaz ya uderevar Nina uzoefu wa Kaz muda mulefu Nina leseni yenye uzoefu Nina cllass A,B,D,C1,c2,c3,pia nime somea psv,kigoma veta Nina certificate,hivyo natumain ombilangu lita fanyiwa kazi mobile ,,,,,0757659144@0620458898asante/=

 10. Kwa majina naitwa jastinxsadick63@gmail.com napakana mkoa wa kigoma wilaya ya kasulu mjin naomba nafas ya kaz ya uderevar Nina uzoefu wa Kaz muda mulefu Nina leseni yenye uzoefu Nina cllass A,B,D,C1,c2,c3,pia nime somea psv,kigoma veta Nina certificate,hivyo natumain ombilangu lita fanyiwa kazi mobile ,,,,,0757659144@0620458898asante/=

 11. Naitwa kelvin tumsifu mushi ni mkazi wa arusha wilaya ya monduli nina uzoefu wa kuendesha magari na leseni yangu ni daraja D natumaini ombi langu litakubaliwa
  0693892211

 12. Kwa majina naitwa Kelvin Tumsifu Mushi, mi ni mkazi wa mkoa wa arusha wilaya ya monduli, nauzoefu wa kuendesha magari na leseni yangu ni class D naomba kazi katika kampuni yako natumaini ombi langu litakubaliwa.

 13. Naitwa zaidu kinawa nomba kazi ya udereva Nina cheti cha udereva na Nina lesseni ya udereva 0679888504

 14. Naitwa mwanahawa haruna natafuta kazi ya udereva ninauzoefu wa Miaka tisa na ninafanya kazi popote mtakapo nipangia.Naendesha magari yoyote ni mkazi wa mwanza namba yangu ni 0756076695

 15. Naitwa fredrick allen naomba kazi ya udereva nina chet cha NIT na mbayang 0689370556

 16. Naombi ya kz Mimi Henry chelula naomba nafsi za kz udereva nmba 0620186851

Leave a Reply

Your email address will not be published.