Job Vacancies At JKT Tanzania June 2024

Nafasi za kazi JKT 2024

 JIUNGE NASI WHATSAPP TU FOLLOW. BONYEZA HAPA

Job Vacancies At JKT Tanzania June 2024 Jeshi la kujenga Taifa Invites Tanzanian youth to Apply for the Announced Job Vacancies as advertised on this may 2024.The history of the establishment of JKT begins in 1958 during the visit of national leaders to Ghana, where the Father of the Nation Mwl. Nyerere and Hon. Rashid Kawawa (Simba wa Vita) went to attend the celebrations to celebrate one year of the country’s independence.

Job Vacancies At JKT Tanzania

FUNDI SANIFU MSAIDIZI – USHONAJI (TAILORING) – 14 POST
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
2024-06-05 2024-06-18
NA
·       Waliohitimu kidato cha nne (IV) na kufuzu kozi ya ufundi ushonaji ya mwaka mmoja kutoka Vyuo vya Ufundi vinavyotambuliwa na Serikali.

·       Waliohitimu kidato cha nne (IV) wenye cheti cha majaribio ya Ufundi Hatua ya II (Trade Test II) kutoka Vyuo vya Ufundi vinavyotambuliwa na Serikali.

                                           i.          Kushona vitambulisho, kubadilisha na kuambatanisha kwenye mavazi.

                                         ii.          Kutoa uzi kwenye mavazi kwa kutumia wembe au kitu maalum.

                                       iii.          Kuachanisha sehemu za nguo na kushona kwa mkono na cherehani.

                                       iv.          Kushauriana na wateja aina ya mavazi na vitambaa husika.

                                         v.          Kuendeleza, kunakili, au kubadili mtindo wa mavazi na muundo wake.

                                       vi.          Kushona, kurekebisha nguo zilizopimwa kutokana na vipimo vya mteja ,watengenezaji na mtindo wa ushonaji.

                                     vii.           Kuhakikisha  nguo ya mteja inakaa vizuri na kukubali mabadiliko Kuhakiki au kuacha, kufananisha mshono wa suti uweze kukaa vizuri.

                                   viii.          Kuhakikisha vitambaa vya nguo husika vina uwiano kutegemea na mabadiliko husika

                                       ix.           Kufanya mabadiliko ya mtindo wa mavazi kama vile  kushona mfuko wa miguu, kupunguza paja na kutoa ped.

                                         x.          Kupima sehemu ya mikono, miguu, pant na kuweka  alama au mabadiliko ya mpasuo.

                                       xi.          Kuweka chati ya nguo na kukata kwenye mstari kwa kutumia mkasi.

                                     xii.          Kugandamiza nguo kwa kutumia pasi ya mkono au mashine.

                                   xiii.          Kufanya kazi zingine  atakayopangiwa na msimamizi wake kulingana na kada yake.

TGS A

CLICK HERE TO APPLY

 JIUNGE GROUP LETU LA TELEGRAM. BONYEZA HAPA